Huduma za Mikopo Itolewayo

MKOPO WA DHARURA

Mahususi kwa Waajiriwa rasmi toka sekta zote kwa dhamana ya Mwajiri ili kukuwezesha mfanyakazi uweze kutatua changamoto za dharula za kifedha kwa muda mfupi kama vile Ada, Misiba, Matibabu, Biashara n.k.

 

Vigezo/Masharti ya Mkopo

MKOPO BINAFSI

Huu ni mkopo ambao walengwa wake ni wafanyakazi na wafanya biashara wadogo wadogo ambao wana changamoto binafsi au za kifamilia.

 

 

Vigezo/Masharti ya Mkopo

MKOPO KWA WAFANYABIASHARA

Ni Mkopo unaolenga watu binafsi na makampuni ya kiwango kidogo na cha kati wanaoweza kutumia mkopo huu kuendeleza biashara zao au wale wanaojihushisha na tenda za serikali, makampuni binafsi ya kitaifa na kimataifa.

Vigezo/Masharti ya Mkopo

MKOPO WA MWANANCHI

Mkopo maalum kwa wafanyabiashara wa chini kabisa wanaofanya shughuli zao kwenye masoko au maeneo maalum yaliyotengwa kama vile wamachinga, mama na baba lishe, madereva boda boda na waendesha bajaji.

 

Vigezo/Masharti ya Mkopo